nyamalagala JF-Expert Member Joined Jun 5, 2016 Posts 744 Reaction score 673 Dec 1, 2023 #1 Habari wadau muhimu wa ujenzi. Niko kwenye hatua za kupaua baada ya kupambana na boma. Sasa ombi langu ni kujua idadi ya mbao zitakazotumika kwenye mjengo wangu. Nyumba ina urefu wa futi 37 na upana wa futi 22.10. Nataka nitumie mbao za futi 12. Location yangu ni Bunju. Nb. Ramani niliipata mtandaoni nikaipenda hivyo haina vipimo ila naamini mtanisaidia. Sitangazi biashara ya mtu ingawa kwenye ramani kuna namba.
Habari wadau muhimu wa ujenzi. Niko kwenye hatua za kupaua baada ya kupambana na boma. Sasa ombi langu ni kujua idadi ya mbao zitakazotumika kwenye mjengo wangu. Nyumba ina urefu wa futi 37 na upana wa futi 22.10. Nataka nitumie mbao za futi 12. Location yangu ni Bunju. Nb. Ramani niliipata mtandaoni nikaipenda hivyo haina vipimo ila naamini mtanisaidia. Sitangazi biashara ya mtu ingawa kwenye ramani kuna namba.
Mlatino Zeshalo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,130 Reaction score 3,599 Dec 4, 2023 #2 Namba ya simu ipo wapi hapo?