Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Wazoefu wa ujenzi naombeni msaada wa makadirio ya huu mjengo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiwanja kipo lakini?Wazoefu wa ujenzi naombeni msaada wa makadirio ya huu mjengo
Vipo lakini bado sijaridhika navyo sanaKiwanja kipo lakini?
300m kwa darWazoefu wa ujenzi naombeni msaada wa makadirio ya huu mjengo
nakubali300m kwa dar
Nakubali250-300m
Mnapataje gharama hata bila kujua idadi ya vyumba na spaces nyingine za ndani?Millioni 220-330 inachezea humo
Pesa ndogo sana🥴
300 to 350 million full stop wasikuletee mambo ya Mwijaku.
Nakubali mkuu300 to 350 million full stop wasikuletee mambo ya Mwijaku.
Aiseee watu pesa mingi me hata chumba na sebule naogopa kuulizia makadirio maana pesa hamna
Aiseee watu pesa mingi me hata chumba na sebule naogopa kuulizia makadirio maana pesa