notyfeky JF-Expert Member Joined Apr 17, 2022 Posts 713 Reaction score 730 Jul 21, 2022 #1 Naomba msaada wa makadirio kama vile idadi ya tofali, simenti ya kujengea, idadi ya nondo kufungia msingi na lenta, kokoto msingi na lenta, n.k. Kiwanja kiko kwenye muinuko, kimlima.
Naomba msaada wa makadirio kama vile idadi ya tofali, simenti ya kujengea, idadi ya nondo kufungia msingi na lenta, kokoto msingi na lenta, n.k. Kiwanja kiko kwenye muinuko, kimlima.
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Jul 21, 2022 #2 Umesema kiwanja kipo kwenye kimlima. Ushauri tafuta fundi ujenzi jirani na wewe ulipo kisha aje kwenye kiwanja hapo akupe hesabu
Umesema kiwanja kipo kwenye kimlima. Ushauri tafuta fundi ujenzi jirani na wewe ulipo kisha aje kwenye kiwanja hapo akupe hesabu
notyfeky JF-Expert Member Joined Apr 17, 2022 Posts 713 Reaction score 730 Jul 21, 2022 Thread starter #3 FRESHMAN said: Umesema kiwanja kipo kwenye kimlima. Ushauri tafuta fundi ujenzi jirani na wewe ulipo kisha aje kwenye kiwanja hapo akupe hesabu Click to expand... Sawa, shukrani mkuu kwa ushauri. Japo najua mafundi pia wamo humu jukwaani, ingesaidia pia kupata abc's
FRESHMAN said: Umesema kiwanja kipo kwenye kimlima. Ushauri tafuta fundi ujenzi jirani na wewe ulipo kisha aje kwenye kiwanja hapo akupe hesabu Click to expand... Sawa, shukrani mkuu kwa ushauri. Japo najua mafundi pia wamo humu jukwaani, ingesaidia pia kupata abc's
C Chief Platinum Member Joined Jun 5, 2006 Posts 3,588 Reaction score 3,194 Jul 21, 2022 #4 notyfeky said: Naomba msaada wa makadirio kama vile idadi ya tofali, simenti ya kujengea, idadi ya nondo kufungia msingi na lenta, kokoto msingi na lenta, n.k. Kiwanja kiko kwenye muinuko, kimlima. Click to expand... Chumba kimoja ni 2mx2m au?
notyfeky said: Naomba msaada wa makadirio kama vile idadi ya tofali, simenti ya kujengea, idadi ya nondo kufungia msingi na lenta, kokoto msingi na lenta, n.k. Kiwanja kiko kwenye muinuko, kimlima. Click to expand... Chumba kimoja ni 2mx2m au?