Naomba maoni: Binti wa Kichaga Kutoroshwa!

Jamani 20 years bado ni mtoto sana..Msaidie ajue kuwa 10 years from now, hatakuwa na nafasi kama hiyo ya sasa...She will be a hunter in stead.

Msukuma aombe ushauri na msaada haraka ili asije kuingia kwenye mtego wa kule mtoto anayeishi na baba mwingine!!

Babu DC!!
 
baba mdogo (Mr. Masawe).

Kongosho acha Uchokozi wako, mimi sina binti wa kaka yangu mwenye mimba Bana; acha uzushi wako.


Hiyo inaitwa "Chagua Bega" kule kwetu mgombani. Nidi tu sei moa?



Bazazi ni Bazazi!
 
Huyo atakuwa anona raha kutafutwa na wa kwao!:lalala:
 
sijawahi kusikia kitu kama kutoroshwa kwa binti na mi nina damu ya kichaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…