Cjawah kupima HIV, Sasa nimempata mpenzi tulioishi nae kwa mwaka m-1. Falsafa yangu kuusu swala zima la afya ni kwamba cjapanga kupima HIV japo cyo tiketi ya mimi kuwa malaya wala cjawahi kupima. Sasa ananiambia tupime kwanza ndo tuoane. SWALI. Je, hii umaanisha kwamba hajanipenda bado na kutokua na HIV0 ndo kigezo cha yeye kunipenda? Mbona mimi nlizani mapenzi ya kweli hayana vigezo! Kwahiyo ukimpenda mtu umependa kilakitu kwanzia aongeavyo mpaka damu yake bila kujali kama ana HIV au la. Eti tucpopima ananiacha! Kweli kanipenda?

kwaiyo wewe ulitaka akupende zaidi akuue au wewe umuue na HIV ndio utaamini kua mnapendana kwa dhatiCjawah kupima HIV, Sasa nimempata mpenzi tulioishi nae kwa mwaka m-1. Falsafa yangu kuusu swala zima la afya ni kwamba cjapanga kupima HIV japo cyo tiketi ya mimi kuwa malaya wala cjawahi kupima. Sasa ananiambia tupime kwanza ndo tuoane. SWALI. Je, hii umaanisha kwamba hajanipenda bado na kutokua na HIV0 ndo kigezo cha yeye kunipenda? Mbona mimi nlizani mapenzi ya kweli hayana vigezo! Kwahiyo ukimpenda mtu umependa kilakitu kwanzia aongeavyo mpaka damu yake bila kujali kama ana HIV au la. Eti tucpopima ananiacha! Kweli kanipenda?
Mwambie acheki bp kwanza...Yes hicho ni kigezo cha kukupenda hasa km mnamalengo ya kuoana,na anakupenda sana ndio maana anakutaka mkazijue afya zenu ili muishi kwa amani na kupanga mambo yenu ya baadae,
Km hujiamin na una hofu,jikate ukapime kivyako ujue majibu yako,
Then km yako poa ndio muongozane wote mkapime kwa pamoja!
Ww kinachokusumbua ni hofu tu ya kupima na kupokea majibu,kitu ambacho ni cha kawaida kwa yoyote ambaye ndio mara yake ya kwanza kupima, jipange tu uende ujue moja.