Kupima HIV has nothing to do with her feelings, ni formality ambayo wote tunatakiwa kuipitia(kama tunajipenda inatubidi tuzijue afya zetu). Kisha mkipima ikitokea mmojawapo anao, mtapanga ni vipi mwenzie atalindwa asiambukizwe na watoto watakao zaliwa(if there will be any) walindwe pia. Huu ndio haswa upendo wa kweli....
FYI: mara nyingi watu wanaoulizauliza je ananipenda? ndo wenye matatizo-kwani ww huoni actions zake? au hujui kusoma alama za nyakati? utaangamia kwenye hizi cku za mwisho! shauri zako!