Ahmad bin Adam
New Member
- Sep 18, 2021
- 1
- 1
Feedback.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwa mark juice akupe muongozo..hyo business imevamiwa dar hapa...kila kona..Nina ndoto ya kufungua duka la vinywaji vya matunda asili, (smoothie), kahawa, na fruti. Nimefikiria pia kutengeneza mfumo wa kimtandao ambao utamruhusu mtu kununua na kuweka order ya vitu hivyo ambavyo nitataka kuuza.
Mpaka hapa kwanza wacha ni check feedback zenu.