Ndoto nzuri, haya amka sasa uitimize.
Ila nashauri, ukiwa na ndoto yoyote ile, fanya kuandaa mpango kazi, kwa kuandika kwenye kitabu/daftar.
kuna miongozo mingi huku mtandaon, ya jinsi ya kuandaa/kuandika mradi,
Na pengine utafanya project yako kwa haraka au pengine hautafanya sasahiv, ila hata baadae ukija kuanza unakuwa una mpango kaz wako tayar, kwahiyo kuanza inakuwa kuna urahisi.
au pengine unaweza kuuza mpango kazi wako kwa mwenye uhitaji na mradi kama huo.
Nimefikiria pia kutengeneza mfumo wa kimtandao - kabla ya hii, hebu kwanza usibiri mradi wako uimarike.