Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mada inavyojieleza naomba maoni yenu kutokana na udhoefu wenu kati ya VTZ, STARLET na SUZUKI SWIFT ipi ni kagari imara na affordable kwa mazingira ya barabara mbovu, fuel cosumption, spare parts, durability, masafa marefu pasipo kusumbua
Labda haipendiKwanini hujaiweka IST kwenye listi yako
Kwanyongeza ni VITS RS ndio ipo vizur zaid kuliko Vits claviaKwa uzoefu wangu Vitz inasifa hizo unazosema, kwanza ni gari inayotumia mafuta vizur pia chini imekaza sana hata kama njia ni mbovu haiharibiki ovyo kama swift, pia kama ninkwa safar ndefu nunua vitz yenye injini ya 2nz zipo nyingi tu ina cc 1290. Swift pia ni nzuri ila haitaki kabisa njia mbovu aiseee....