Naomba maswali ya Interview ya Electrical engineering interview (TRC, Locomotives engine)

Naomba maswali ya Interview ya Electrical engineering interview (TRC, Locomotives engine)

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
319
Reaction score
335
Habari za wakati huu ndugu zangu,

Samahanini sana kwa nitakao wakela kwa mimi kuleta uzi huu hapa jukwaani.

Nilikuwa naomba kwa ambao wamewahi kufanya interview utumishi ajira za TRC department ya umeme(locomotives engine).

Naomba mnisaidie maswali ambayo huwa yanaulizwa wakati wa interview upande wa oral na written pia.
 
Back
Top Bottom