Wakuu mambo vipi
Nina Samsung S6 tablet, sasa nilisahau password so nikaamua kureset
Sasa shida inayokuja after everything inanitaka niingize e mail na password ambayo hiyo password nimesahau
Nikiweka namba ya simu ambayo nilitumia kufungulia hiyo E mail ili nitumiwe link, hakuna link yoyote napata
Je, kuna ujanja wowote wa kuskip hiyo hatua?