Naomba mawasiliano ya ofisi za Gazeti la Serikali

Budhaboss

New Member
Joined
Feb 2, 2020
Posts
3
Reaction score
3
Naombeni namna RASMI ya kuwapata ofisi ya gazeti la Serikali kwa njia ya mawasiliano kwani, Kila nikiomba namba zao kwa watu mbali mbali napewa namba za watu binafsi. Ina maana hawana namba RASMI ya ofisi?

Nataka kutuma form yangu ya DEEDPOL Ili nipate control number niilipie ichapwe kwenye gazeti la Serikali lakini NIMEKWAMA kwasababu hata namba 0800004004 kutoka tovuti ya Wizara ya katiba na Sheria nikipiga NAAMBIWA hii namba SIO SAHIHI.
 
Hizo namba zimewekwa tu mara zote huwa hazipatikani au hazipokelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…