Naomba Mawaziri Wengine Waige Mfano wa Dkt Mwigulu Nchemba Pamoja na Dkt Dorothy Gwajima wa kuja kutoa ufafanuzi wa Hoja hapa jukwaani

Hoja hupingwa kwa hoja.kama unaona hajatoa hoja ungepinga kwa Hoja
Acha utaahira wako, Mwigulu anatupiaga tu hapa kijitaarifa tena sana sana cha kanusho...kwamba puuzeni taarifa fulani tena bila kuweka ushahidi kusapoti madai yake.
Akitakiwa kutoa ufafanuzi wala hajibu.
Ana kiburi & jeuri, hafai kabisa.
Mh Gwajima yupo sawa.
 
kazi nzuri na muhimu sana amefanya Dr.Mwigulu jana 👊💪
 
Hata wakija hao Mawaziri wewe Lucas huwezi kuwauliza maswali magumu zaidi ya kuwakatia viuno na kuwaomba hela ya Vocha.
 
Kuna yule takataka mwenzio anajiita Tlahtlah [blah blah] anasema yeye ni waziri unaweza kutuambia ni waziri wa nini ?

Anaonaje akija kwa jina lake halisi hapa ili tujadiliane nae?
 
Kuna yule takataka mwenzio anajiita Tlahtlah [blah blah] anasema yeye ni waziri unaweza kutuambia ni waziri wa nini ?

Anaonaje akija kwa jina lake halisi hapa ili tujadiliane nae?
Ni Mheshimiwa Mbunge TlahTlah. Au unataka Uombe hela ya chakula kama kawaida yako?
 
Acha kukataa wakati ni kweli.
Wewe mpuuzi mimi nipo humu sasa inaenda mwaka wa 17 , sijawahi kuomba msaada wowote hata cent 1.

Wewe ndio ulikuwa unaweka kinamba chako cha simu kwenye yale magazeti yako ukipitisha bakuli la pesa na kuomba upewe uteuzi naona walikutupilia mbali ndio maana namba hata huweki siku hizi.

Wewe na huyo chawa mwenzio ni wapuuzi tu hamna reasoning skills zozote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…