B Buyaga MUSHO New Member Joined Sep 20, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Sep 20, 2012 #1 Je wanazuoni wenzangu ebu nisaidie mawazo,elimu yetu watanzania ni utatuzi wa matatizo tuliyonayo wote au ni utatuzi wa mtu mojamoja?
Je wanazuoni wenzangu ebu nisaidie mawazo,elimu yetu watanzania ni utatuzi wa matatizo tuliyonayo wote au ni utatuzi wa mtu mojamoja?
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Sep 20, 2012 #2 wewe kama wewe ulishatatua tatizo lipi kwa kutumia hiyo elimu yako ulionayo..
Mr Penal Code JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 823 Reaction score 216 Sep 20, 2012 #3 ukiwa na akili ya kuitumia Hyo Elimu utatatua matatizo yote mkuu.
E Edsonson Jr Member Joined Sep 10, 2012 Posts 6 Reaction score 0 Sep 20, 2012 #4 Buyaga MUSHO said: Je wanazuoni wenzangu ebu nisaidie mawazo,elimu yetu watanzania ni utatuzi wa matatizo tuliyonayo wote au ni utatuzi wa mtu mojamoja? Click to expand... hata ingekua ya kutatua matatzo ya jamii nzma(tuliyonayo wote) bt huwez wafkia wote, kfup elimu imegeuka kua siraha ya utatuz wa matatzo ya m2 bnafc.
Buyaga MUSHO said: Je wanazuoni wenzangu ebu nisaidie mawazo,elimu yetu watanzania ni utatuzi wa matatizo tuliyonayo wote au ni utatuzi wa mtu mojamoja? Click to expand... hata ingekua ya kutatua matatzo ya jamii nzma(tuliyonayo wote) bt huwez wafkia wote, kfup elimu imegeuka kua siraha ya utatuz wa matatzo ya m2 bnafc.