jamesmmassy
Member
- Apr 27, 2013
- 8
- 0
Ndugu zangu waungwana natarajia kuanzisha mgahawa au sehemu ya kuuzia chakula cha kupikwa ila nategemea kuweka msimamizi au manager wa kusimamia hiyo biashara kwa kuwa mimi nina biashara nyingine itaniwia vigumu kuganda hapoapo, kwa hiyo kwa yeyote mtaala au mwenye uelewa na hiyo biashara naomba muongozo au mbinu za kudhibiti au kusimamia hesabu ili nisije kula hasara,, naomba kuwasilisha....