Naomba mbinu za kudhibiti na kusimamia hesabu za mgahawa wa chakula

jamesmmassy

Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Ndugu zangu waungwana natarajia kuanzisha mgahawa au sehemu ya kuuzia chakula cha kupikwa ila nategemea kuweka msimamizi au manager wa kusimamia hiyo biashara kwa kuwa mimi nina biashara nyingine itaniwia vigumu kuganda hapoapo, kwa hiyo kwa yeyote mtaala au mwenye uelewa na hiyo biashara naomba muongozo au mbinu za kudhibiti au kusimamia hesabu ili nisije kula hasara,, naomba kuwasilisha....
 
Piga simu 0672070040
 
Nitakupa mwongozo mzima baada ya kuona eneo ila ndo hakuna cha bure mjini
 
Believe me cha bure hapa mjini ni umbea wa kugongewa mkeo au mumeo kuchepuka....vingine vyoote havitolewi bure
 

Trust me. .Kama husimamii mwenyewe hesabu biashara yako ishakufa.. writing from experience!!
 
1. Funga CCTV
2.
 
Trust me. .Kama husimamii mwenyewe hesabu biashara yako ishakufa.. writing from experience!!
Nakuunga mkono mkuu, mm mke wangu ana biashara asipokuwepo siku moja siku ya pili akienda anakutana na za uso madeni kibao na hasara ni ya kufikia
 
Wewe ndo mwenye Idea. You can not transfer Commitment.

You can not transfer confidence nakadhalika.

Sasa watu huzania Commitment alio nayo yeye ndo mke wake anayo au mme wake au Mama yake au Baba yake. Hakuna kitu kama hicho.

Pia sisi huwa tunazani muhimu ni pesa.

Mke asimamie mauzo na sio grow.

YAANI WATU HUWEKA NDUGU ZAO ILI WASIMAMIE PESA AU MAUZO ila Sio kusimamia Ukuaji.
 
As Entreprener Siku za mwanzo za uhai wako lazima uact sehemu nyingi.

1. Lazima uwe Manager pia.

2. Lazima uwe Secretary.

3.Lazima uwe Marketing manager.

4.Lazima uwe Accountant.

5. Lazima uwe sales Manager.

6. Lazima uwe Driver.

7. Lazima uwe mlinzi some time.

8.Lazima uwe Store keeper.

9. Lazima uwe Procurementanager.

10. Wewe ni cashier

Pia wewe ni Director.

Sasa hizo mwazoni lazima the owner wa Idea azikaimu zote.

As the time goes unaanza kuachia moja moja.

Unaweza anza kuachia ya Secretary, baadae ya Driver ukaja ukaja ukaachia ya Ulinzi ukaja ukaja ukaachia ya sales.

Mpaka inafikia stage unabakia na moja tu Director

Na mpaka inafikia stage hata Udirector unaachia unabakia kuwa Chairman tu sasa.

Sasa from Day one ukianza kwa kukaimisha zote hizo tegemea shida tu mbele ya safari.
 
Watu tunazania Kikubwa kwenye Biashara nikusimia watu wasiibe basi full stop. Hilo ni kosa kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…