Mimi nahisi cha msingi ni kuwa busy...kwani ukiwa loose unakuwa unawazia hayo mambo zaidi... Lakini kwa mfumo wa maisha ya sasa inabidi ujishuhulishe uweze kusimama mwenyewe yaani kujitosheleza kwa mahitaji yako ya msingi...hakuna mwanamme atakuwa anakubabaisha, kwani unakuwa na uhuru zaidi wa kufanya maamuzi.
Ukikuta kazi yako inakua muda wa ziada...jitahidi kufanya mazoezi ..yale unayo enda.mf. kutembea, kukimbia, kendesha baiskeli nk.
Najua kwa mtazamo wa kiafrika..ukitembea kwa miguu barabarani hata mahali ya kilometa mbili..wanasema umeishiwa...hawajui wenzetu ulaya unalipia sehemu ya kutembea kwa miguu...!!!!
Ulaya kuona waziri anaenda kazini na baskeli sio ajabu??? mazoezi!!!