maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
wakuu habari za wikiendi I hope mu wazima wa afya
Niende moja Kwa moja kwene mada naombeni mbinu ya kuingia nayo chooni maana nna tumbo la kuharisha afu kuna wamama wako hapa nje wanasukana wako kama wote hivi
Mi mbinu ambayo huwa natumia huwa naingia na cm afu napiga mziki wa maana huku nafanya yangu ila leo nmekwama
Ebu nipeni maujanja wana chit chat