pozzyfaza
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,453
- 268
jf natumaini nitapata mchanganua wa biashara hii, nipo mbioni kuijaribu mm nipo mbeya nataka nitoe mwanza to mbeya. naweza pata utaratibu wake na je nilazima niwe na kibali, pia changamoto zake ni zipi. pia napenda nikutane na muuzaji c dalali. kwa anayemjua muuzaji kwa mwanza anipe namba yake. tuffanye kazi.