Naomba mchanganua biashara ya dagaa frm Mwanza to Mbeya

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
jf natumaini nitapata mchanganua wa biashara hii, nipo mbioni kuijaribu mm nipo mbeya nataka nitoe mwanza to mbeya. naweza pata utaratibu wake na je nilazima niwe na kibali, pia changamoto zake ni zipi. pia napenda nikutane na muuzaji c dalali. kwa anayemjua muuzaji kwa mwanza anipe namba yake. tuffanye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…