kinjekitile70
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 1,072
- 1,424
Nataka nikajaribishe hichi kilimoWakuu habari..
Natumaini mu wazima
Lengo la uzi wangu ni kutaka kujua kiundani kuhusu kilimo cha karangaa....
1.Mkoa mzuri unaofaa kwa kilimo hicho
2.mahitaji kwa ajili ya kilimo
3.Total cost per hecter
4.Market
5.Bora kununua kabla ya kumenywa au kulima in terms of cost
Niko serious sana so naomba aliye na maelezo anipe mubashara!!!!
Alaamsik
Kumbe udongo ni factor nzur piaaNataka nikajaribishe hichi kilimo
Kule Wilayani Lushoto
Maana udongo mwekundu + Ukame
NdiyoKumbe udongo ni factor nzur piaa
Karanga mkoa wake ni Dodoma na Tabora, Morogoro sijui eneo gani kwani mkoa huu una sisimizi sanaHili zao nami nimelipenda sana, linakubali kustawi maeneo mengi sana hasa kwenye udongo wa tifutifu au kichanga, epuka ardhi yenye sisimizi hao ni adui wa hilo zao. Maeneo ya Morogoro pia zinakubalika na hata huku maeneo ya kanda ya ziwa ninalima na kupata mazao mazuri.