Habari za muda wakuu,
Naomba kupata mchanganuo wa ghalama, kwa mwenye uzoefu.
Kiwanja kina ukubwa wa 1050sqm, je ni wire kiasi gani(na ghalama yake) na nguzo kias gani, zinawez kutosha kukamilsha uzio huo..
Naomba pia na makadirio ya fundi kama itawezekana.
Nawasilisha wakuu! Naomba msaada huo
Unauliza gharama au ''ghalama''. Kuna wire za aina nyingi, wire za aina gani? Nguzo za aina gani? Fundi ''Maiko'' au fundi gani? Uko wapi? Swali lako unaweza kulijibu mwenyewe kwa kufanya research kidogo sana. Urefu wa wire utautafuta kwa kutumia ukubwa wa kiwanja.Habari za muda wakuu,
Naomba kupata mchanganuo wa ghalama, kwa mwenye uzoefu.
Kiwanja kina ukubwa wa 1050sqm, je ni wire kiasi gani(na ghalama yake) na nguzo kias gani, zinawez kutosha kukamilsha uzio huo..
Naomba pia na makadirio ya fundi kama itawezekana.
Nawasilisha wakuu! Naomba msaada huo
Ndugu ungetaja hata upo wap naweza kukutajia bei za njombe ambako gogo buku jelo kumbe upo dar vilevile kwenye waya upo wap vilevile kuchima mashimo udongo wa aina gani utakuja kulopokewa bei humu ukimbieHabari za muda wakuu,
Naomba kupata mchanganuo wa ghalama, kwa mwenye uzoefu.
Kiwanja kina ukubwa wa 1050sqm, je ni wire kiasi gani(na ghalama yake) na nguzo kias gani, zinawez kutosha kukamilsha uzio huo..
Naomba pia na makadirio ya fundi kama itawezekana.
Nawasilisha wakuu! Naomba msaada huo
Nenda ndugu kuuliza so kununua mbonaShukran sana mkuu kwa maelezo yako mkuu,
Ila nltaka nijue roughly tu, ya gharama .. ya uzio kama huu View attachment 2345141
Kwenye kiwanja chenye ukubwa wa 1050sqm .. maana sina ktu ila ndio nataka nijipange kwanza kabla ya kuanza kuzunguka madukani
Ndugu ungetaja hata upo wap naweza kukutajia bei za njombe ambako gogo buku jelo kumbe upo dar vilevile kwenye waya upo wap vilevile kuchima mashimo udongo wa aina gani utakuja kulopokewa bei humu ukimbie