Naomba mchango wa mawazo kwenye mada hii

Naomba mchango wa mawazo kwenye mada hii

Euaggelion03

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
722
Reaction score
789
Habari za jioni wakuu,

Naomba msaada kwa yeyote atakayeweza kunipa points za mada hii

"Tanzanian Education System does not Produce Independent Tanzanian's rather than Dependent."

Points ziwe zinakubaliana na mada.

Natanguliza shukrani.
 
1st point, bcoz it is bookish edn, ts ol bout axam perfomance than realistic, nmejarb neno langu sio sheria na you r free to correct
 
Mh! Badilisha hapo iwe Tanzanians na si Tanzanian's

Tafuta movie inaitwa 3 ------,Utapata jibu la swali lako kwa uhalisia zaidi
 
ImageUploadedByJamiiForums1423570569.677063.jpg
Tafuta hiyo movie upate jibu
 
Back
Top Bottom