Naomba mchango wenu wana JF na jamii kwa ujumla

Naomba mchango wenu wana JF na jamii kwa ujumla

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,315
Nahitaji kwenda kozi ya udereva mwezi mmoja. Daraja A na D na leseni gharama yake ni Tsh laki mbili na elfu sita(206000). Mimi nina tsh 72500, bado tsh 133500 Namba yangu ya simu(airtel money) ni 0688251569. Karibuni kwa kiasi chochote ulichonacho.
 
Hilo gari umewezaje kulimiliki?
Yan sisi wenyewe hatuna magari afu tukupe wewe uponde raha!
 
Pasta sijakuelewa ujue

Ina maana unataka kuazimwa pesa/kukopeshwa au unataka kuchangiwa
 
Asante mkuu. Nahitaji tu kuchangiwa kama msaada tu HARUFU. Pia sina gari wala pikipiki KakaJambazi. Nahitaji tu kozi hii kwaajili ya siku za usoni. Maana hii itakuwa ni fursa wakati ninapohitajika. Asante.

Pasta sijakuelewa ujue

Ina maana unataka kuazimwa pesa/kukopeshwa au unataka kuchangiwa
 
Last edited by a moderator:
hivi hata huko madhabauni mnapeana pesa kienyeji hivi?

lazima utueleze what are u doing for living, what is ur current financial status and why u think u deserves hook up from members?
 
hakiki hizo hela ulizoandika hapo juu... afu heshimu hela kama umeshindwa kuiandika ukiishika uwezi kuihesabu utaidharau kwa sababu siyo yako... mkuu andika tarakimu vizuri... ukiwa unaandika hela kuwa makini sana..
 
Aaaaaahhh huyo ndio wifi yangu mie swala la pesa ataki utaniiii
 
Haha haha hv huyu pastor hana ndugu wala marafik wa karbu na the way anavyomba msaada ya partially tu oooh naomba ela kadhaa
 
Uza cm iyo unayotumia, ununue cm ya elfu 10 upate ada.
 
Anza biashara ya maji/juice kwa hizo ulizonazo utapata ada na faida kibao. Jitume upate ngawila masuala ya kuomba kuomba utadharaulika mtoto wa kiume looooh!
 
Nahitaji kwenda kozi ya udereva mwezi mmoja. Daraja A na D na leseni gharama yake ni Tsh laki mbili na elfu sita(206000). Mimi nina tsh 72500, bado tsh 133500 Namba yangu ya simu(airtel money) ni 0688251569. Karibuni kwa kiasi chochote ulichonacho.

Hauna wazazi? wenzako siku hizi hawaombi hela wanaomba kazi ya kufanya iwaingizie kipato unless uwe kilema
 
Back
Top Bottom