Naomba mfadhili wa kunisaidia ili ni some postgraduate diploma in education chuo cha udsm

malifimbo

Senior Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
127
Reaction score
29
Habari wanajamii,
Jamani mimi nimesomea Bachelor of Arts in History na nimemaliza mwaka 2013 .kutokana na nature ya hii kozi ambayo nimesoma ajira zinasumbua.ninaomba kama unaweza ukanichangia hela ili mwakani niweze kusoma POSTGRADUATE DIPLOMA IN EDUCATION.kwani nimeangalia admission za udsm ada yao million tatu na laki mbili na nusu hadi million nne na laki mbili na nusu kwa mwaka huu 2014/2015.
kutokana na hali ngumu ya wazazi wangu nimeshindwa ndio maana nimeleta kwenu wajamii kuomba msaada kwenu.
0788014921 :flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig:
 
Hiyo ada ni ghali sana kwa post g ya hii field hapo chuon jaribu kuuliza vyuo vingine uone uwezekano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…