Naomba mkopo, dhamana ipo,

Njoo pm na picha ya hiyo tv yako, frigi lako silitaki mana ntakuwa nakutunzia vitu vyako kwa bei cheee sana, vp vikiibiwa vikiwa kwangu, njoo pm kama uko serious


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hujui maana ya dhamana
unatakiwa kupeleka ivo vitu kwa atakayekukopesha vinakaa kwake kwa maandishi ukishindwa kurudisha vinakuwa mali yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…