Naomba mkopo wa 30,000, nitarudisha baada ya siku tatu

Naomba mkopo wa 30,000, nitarudisha baada ya siku tatu

Status
Not open for further replies.

ora

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
1,198
Reaction score
1,126
Kafanikiwa kupata huo mkopo

Habari za mda huu!!
jamani natafuta wa kunikopesha 30000 tu !!
nitarudisha after 3days!!
kwa yeyote alie serious PM

msaada Tafadhali
 
Nenda sinza, utapata mkopo wa tigo fast a ndio zao shughuli yao ni kukopesha na kukopa kwa riba kitu ambacho mungu amekataza
 
Kesko kutwa mshahara unatoka, sasa tufanyeje ndugu na mimi nina nia ya kukukopesha kabisa. Ndo utasubiri ama? Halafu kurudisha utasogeza siku au?
 
Kesko kutwa mshahara unatoka, sasa tufanyeje ndugu na mimi nina nia ya kukukopesha kabisa. Ndo utasubiri ama? Halafu kurudisha utasogeza siku au?
ngumu kumesa maana nina shida siku2 hizi
 
Inaonekana wewe ni muaminifu, sina hakika lakini, lead time yako inataka kuniaminisha
 
Tupia namba yako ya Tigopesa hapa Wadau wakurushie fasta.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom