Naomba mniangalizie hili jina kwenye selection za Ualimu

Joined
Aug 27, 2014
Posts
43
Reaction score
11
Niliaply ualimu diploma, jina ABEL G KIKIMBA, nimesoma madibira 2013 na nilipata two, nilituma maombi wizara ya elimu.
 
sijaliona jina lako mkuu, weka index no. tujarb na hiyo labda

mkuu naomba uniangalizie roza elias aliomba grade ualimu ngazi ya cheti kwa maneno mengine waliita mafunzo kabilishi no.ni s/2240/0015
 
umechaguliwa unaenda chuo cha ualimu mtwara na unaenda kufundisha chekechea
 
Niangalizie Mariam bukuru aliomba mafunzo kabilishi cheti
 
Niangalizie reuben kabujanja namba yangu ni 1642/0041 niliomba grade A ngazi ya cheti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…