Naomba mniangalizie nimepangiwa chuo gani na tcu

Status
Not open for further replies.
Umepangiwa VETA tawi la mtwara kulipoti mwisho tar 19/9/2013.! Kajipangee alafu urudi tena
 

just challenge tuu Maryam Hassan.! Ila ombi lako halijakamilika/halijaeleweka, tcu bado hatwajatoa post officially, unaotuona tunatamba humu ndani ni wale tulioona post kupitia airtel yatosha siku ya j'mosi na wengine kupitia vyuo husika ambavyo tayari wamesha publish majina kupitia mitandao yao ya vyuo mfano; cbe ,ita,st joseph,mount meru, jordan, arushaa university, arbishop mihayo.! So kwan wewe ulioomba vyuo gan tukusaidiee
 
Last edited by a moderator:
nashukuru kwa kunielewa.. nilichagua duce,udom,udsm,jordan,udom..if poscible naomba uniangalizie..
 
awasubiri tcu 2 au vyuo alivyo omba kama watatema majina hakuna njia ya mkato tena m2 wangu just wait for tcu.
 
nashukuru kwa kunielewa.. nilichagua duce,udom,udsm,jordan,udom..if poscible naomba uniangalizie..

hapo nimekuelewa mariam.! Hii ndo jf bana ucwe mwepesi wa kushindwa.! Jaribu kuwa na challenge na wewe! Sawaaa
 
Subiri official announcmnt ya tcu..angalia majina kwenye vyuo ambavyo vimetema tayar kama ni miongoni kati ya vile ulivyoomba..
 

we ni kilaza tu kubali hata vyuo vyenyewe huvijui unaropoka ropoka tu,na liwilaya lako la Rombo hilo cku hz wanatoa huduma bure kila hospitali wahi!!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…