Naomba mniangalizie nimepangiwa chuo gani na tcu

Status
Not open for further replies.
we ni kilaza tu kubali hata vyuo vyenyewe huvijui unaropoka ropoka tu,na liwilaya lako la Rombo hilo cku hz wanatoa huduma bure kila hospitali wahi!!!

cheki sasa ulivyokuwa hujielewi wewe dada! Me nipo dar wilaya ya ilala tenaa @ sasa hiyo wilaya yangu ya Rombo nimeitoa wapi?? n_ge_ms_e kilazaaa ww
 
dada yetu katuomba kwa nia njema tu. Ila tunapenda kutafsili sivyo wakat mioyo yenu inawasuta kama mnachokiandika akiendani. Tuheshimiane na tupendane siyo vzur kuweka ligi humu. Yan inafikia paka watu wanashindwa kupost mawazo yao kisa watu watampinga. Si vema
 
Hope bibie ushajua cha kufanya,ila hucwe unakurupuka kuuliza coz kuna vilaza hatari humu na ulivyoandika jina lako halisi tachekwa sana.
 
nashukuru kuliza c ujinga.. ni mangapi wao washailiza ili wajue?? inamana walijibiwa kama wanavyonijibu.. binadam utu..
 

Darius acha kumzingua bibie inaonekana ni mgeni
 
Last edited by a moderator:
rombo yako

haahaahaa ngoja nifikirie inaweza ikawa mkweli mkuu chatts55 coz nina demu wa kichagaa ngoja nimuulize anatokaa wilaya gani ila alishawah kuniambia kuwa ni mmarangu! Vp marangu ipo wilaya gan? Fungukaaa mkuu
 
Last edited by a moderator:
rombo yako

haahaahaa ngoja nifikirie inaweza ikawa mkweli mkuu chatts55 coz nina demu wa kichagaa ngoja nimuulize anatokaa wilaya gani ila alishawah kuniambia kuwa ni mmarangu! Vp marangu ipo wilaya gan? Fungukaaa mkuu naweza nikahamia huko unapopasema
 
Last edited by a moderator:
Darius acha kumzingua bibie inaonekana ni mgeni

ujue nn mkuu irumba1 me na mariam mbona tushaelewanaa! Ila ombi lake lilikuwa na utataa! Bt all in all tushawekana sawa
 
Last edited by a moderator:
haahaahaa ngoja nifikirie inaweza ikawa mkweli mkuu chatts55 coz nina demu wa kichagaa ngoja nimuulize anatokaa wilaya gani ila alishawah kuniambia kuwa ni mmarangu! Vp marangu ipo wilaya gan? Fungukaaa mkuu

hahahaha! basi bwana!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…