Ila usimuombe no.za cm
haahaahaa teh teh teh
nashukuru kwa kunielewa.. nilichagua duce,udom,udsm,jordan,udom..if poscible naomba uniangalizie..
Halafu na ww mkulya usijifanye inajua sana, kwanza nyie wapi na wapi na kusoma! nyie mshazoea kuvaa magwanda tu.
usijidai mwema kwa huyo binti hapo unatoka kavu.
Hahahahah nimechekaaaaa
Umepangiwa VETA tawi la mtwara kulipoti mwisho tar 19/9/2013.! Kajipangee alafu urudi tena
We kabila gan kama sio mnyarwanda naona snura ashakuvuruga ,
Ila usimuombe no.za cm
aah wap??dogo mm sio mzinzi kama wewe..nina demu wangu mkali sanaaa!!yaan ukimuona unaweza kuzimia..
Kweli nimeamini mse.nge hana mkole. Sasa ndio majibu gani kumjibu mtu ambaye huna uhakika na ufahamu wake kuhusu JF, angalia kiburi hicho mdogo wangu...
wewe acha kiherehere utapakatwaa! Mbona cc tulikuwa tunajibiwa hvyo hvyo wakati tulivyokuwa tunajiungaa! Hii ni jf home of great thinker! Challenges ni muhimuu ili ujue kujitetea! Kilazaaa ww
nakuheshimu tu
aah wap??dogo mm sio mzinzi kama wewe..nina demu wangu mkali sanaaa!!yaan ukimuona unaweza kuzimia..
nimzimie dem wako!wa kazi gn wangu ananitosha
aah wap??dogo mm sio mzinzi kama wewe..nina demu wangu mkali sanaaa!!yaan ukimuona unaweza kuzimia..
nimzimie dem wako!wa kazi gn wangu ananitosha
Hahahahah nimechekaaaaa
nimzimie dem wako!wa kazi gn wangu ananitosha
We una demu au una zombi..usinichefue bure..
Eagle Wing chuo kipo ghorofa ya tatu mkabala na Zoom University,umepangiwa ukasome bachelor in computer cleaning and keyboard pressingMaryam hassan rashidy..