Naomba mniangalizie nimepangiwa chuo gani na tcu

Status
Not open for further replies.
Kama maryam hassan nusu mbongo nusu msomali ngoja nimfate akinata nageuza gari.
 
Utakua umepangiwa chuo cha nyuki Tabora ... maana kama hadi kutafuta umepangiwa wapi unaanzisha thread.. Basi tena
 
we boya nini..maryam ni mwanaume tangu lini au katika ukoo wenu una ndugu wakiume anaitwa maryam

hivi kwani we jina lako ni nani! au we ni Mbwiga88,Oil sumu,flyn ryder,B.G,King kong,Fidel80 acha ukuda
 
hivi kwani we jina lako ni nani! au we ni Mbwiga88,Oil sumu,flyn ryder,B.G,King kong,Fidel80 acha ukuda

mimi na wewe nani mkuda...boya wewe,na jina langu si unaliona..hayo mengine ya nini?
 
The thing is hapa sio Facebook jamaa...Write something which is of benefit to others!Mnaenda kwa wasomi sasa..mambo ya High school yaishe!

umeongea point kuna watu vilaza humu ndani nomaa..nimeamini huu msemo "not all an educated people can be civilized"
 
Acha ujinga dogo..hatupo sekondari hapa..Wewe ni nani kutukana kozi wanazokewnda kusoma wenzako?Do you think walimu sio muhimu?Nani kakufikisha hapo ulipo!It seems hiyo elimu ya Form Six bado haijakusaidia kabisaaa!

usiwe kama f_a_l_a unakurupukia mambo! Angalia thread mwanzo mwisho ujue tulikuwa tunabishana nn then ndo uchangiee.! Cku nyingine utaolewa shauri yako., we dandia gar kwa mbelee..! Over
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…