Naomba mnielekeze chimbo zuri Dodoma

Naomba mnielekeze chimbo zuri Dodoma

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,355
Reaction score
14,408
Wakuu habari za Jumapili?

Nipo Idodomya, makao makuu ya nchi. Naomba mnielekeze chimbo zuri ambalo kuna sehemu ya kulala, kula na kunywa bila kusahau maua mazuri.
 
Ukiingia Rainbow ni uhakika ila uwe makini maana wezi ni wengi japo maua ni yente.
 
Nenda waswanu kuna vijana watulivu Sana .hasa jioni utawaona shostito wanaanza kuingia ila kuwa makini usitongoze mhudumu hauta enjoy
 
Back
Top Bottom