Naomba mnieleweshe Aflabet za kirumi

Naomba mnieleweshe Aflabet za kirumi

king suleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
1,749
Reaction score
1,149
Wana jf mamb vp habar za weekend jaman me nna shida ya kujua alfabet za kirumi yani nilikua nazijuaga ila nilisahau nataka kujua kuzitumia kwenye note book yangu coz kuna vitu vya siri huwa naandika ila watu/marafiki wa karibu wakipekua pekua wanasoma na mim huwa sipendi vitu vingine ni siri cpendi kuwaambia watu nahic hzo alfabet zitanisaidia kdogo coz weng hawazijui JAMANI NIPO SILIAS kwa anayekumbuka anisaidie hapa hapa ukini pm cjui hiyo huduma natumia itel za buton ntashukulu waungwana nawakilisha
 
Kama unahitaji application ya PM sema tukusaidie jinsi ya kudownload.
ila kuna gharama zake
 
Back
Top Bottom