Sikutambua
Member
- Nov 16, 2014
- 46
- 4
naomba kujua kama utaratibu wa mtu aliyesoma cheti vyuo vya kilimo kuomba kusoma degree kwa kigezo cha ufauru wake wa kidato cha nne kama bado upo (sua)
Kwa jinsi ninavyofahamu taratibu za kujiunga na vyuo vikuu (na hapa SUA sio exceptional) kwa ajili ya kusoma shahada ya kwanza ni ama uingie moja kwa moja kwa ufaulu wa KIDATO CHA SITA au ufaulu wa DIPLOMA au uingie kupitia "matriculation examination" vinginevyo sidhani kama unaweza kujiunga kwa ufaulu wa KIDATO CHA NNE!