Naomba mnifahamishe Kiingereza cha dawa hizi

MziziMkavu Najua wewe ni mtaalam wa mambo haya; je ni kweli kuwa mbegu za Uwatu zinatibu kisukari?
 
Habari Wadau,

Ninaomba kuwauliza jina za Kiingereza au picha za hizi dawa, sizifahamu.

1. Halimiti
2. Zamda ya punje
3. Habbat Raihani
4. Halidari
Hakunaga.







Anyway 4. Haladari = custard.
 
Nenda kwenye maduka ya dawa za asili utapata zote. Taja eneo ulipo uelekezwe maduka yalipo
 
Habari Wadau,

Ninaomba kuwauliza jina za Kiingereza au picha za hizi dawa, sizifahamu.

1. Halimiti
2. Zamda ya punje
3. Habbat Raihani
4. Halidari
Njia nyepesi ni kuzijua kwa lugha yake ya asili kisha ndio google. Kwa mfano زمد unatranslate ktk english kisha una google. Upo?
 
Kuna mmama anauza madawa asili anatembeza maofisini ila bei yake hana tofauti na Mlanguzi kidonge kimoja elfu 40
 
Habari Wadau,

Ninaomba kuwauliza jina za Kiingereza au picha za hizi dawa, sizifahamu.

1. Halimiti
2. Zamda ya punje
3. Habbat Raihani
4. Halidari
Usipate shida kuyajua majina ya hizo dawa kwa kiingereza,wewe nenda kwenye maduka ya kisunna /dawa za asili utazipata hizo dawa zote.
 
Umetisha
 
Cayenne pepper naweza kuipata wap dar-es-salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…