Naomba mnijuze gharama za leseni ya biashara kwa Dar

fundi msati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
216
Reaction score
91
HABARI, poleni kwa pilika ya kutwa kutimiza majukumu ya kila siku.

Ndugu zangu naomba kwa anejua taratibu za kuzifuata ili kupata leseni ya biashara na vigezo vyake pia na gharama zake hususani katika jiji la Dar es Salaam.

Kama kuna uzoefu wa sehemu nyingine sio mbaya nitajifunza ila kwa sasa nataka kwa Dar maana hapo mwanzo nilikuwa nikifanya shughuli za ngu Morogoro ila tangu kufika hapa Dar naona kila uchwao pilika za kusombwa kisa leseni mimi nataka kwaajili ya shughuli za ushonaji.

Karibuni maswali ya kujenga ruksa
 
Hakikisha una TIN, cheti cha kuzaliwa, mkataba wa pango na category ya leseni unayotaka kuichukua maana zinatofautiana gharama.
 
HABARI, poleni kwa pilika ya kutwa kutimiza majukumu ya kila siku.

Ndugu zangu naomba kwa anejua taratibu za kuzifuata ili kupata leseni ya biashara na vigezo vyake pia na gharama zake hususani katika jiji la Dar es Salaam.

Kama kuna uzoefu wa sehemu nyingine sio mbaya nitajifunza ila kwa sasa nataka kwa Dar maana hapo mwanzo nilikuwa nikifanya shughuli za ngu Morogoro ila tangu kufika hapa Dar naona kila uchwao pilika za kusombwa kisa leseni mimi nataka kwaajili ya shughuli za ushonaji.

Karibuni maswali ya kujenga ruksa
Hivi huwa wakikukuta haina wanatoza na faini?
 
Back
Top Bottom