fundi msati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 216
- 91
Naomba link tafadhariLeseni ni 80,000 tu na unaiomba mtandaoni,
HABARI, poleni kwa pilika ya kutwa kutimiza majukumu ya kila siku.
Ndugu zangu naomba kwa anejua taratibu za kuzifuata ili kupata leseni ya biashara na vigezo vyake pia na gharama zake hususani katika jiji la Dar es Salaam.
Kama kuna uzoefu wa sehemu nyingine sio mbaya nitajifunza ila kwa sasa nataka kwa Dar maana hapo mwanzo nilikuwa nikifanya shughuli za ngu Morogoro ila tangu kufika hapa Dar naona kila uchwao pilika za kusombwa kisa leseni mimi nataka kwaajili ya shughuli za ushonaji.
Karibuni maswali ya kujenga ruksa
Hivi huwa wakikukuta haina wanatoza na faini?HABARI, poleni kwa pilika ya kutwa kutimiza majukumu ya kila siku.
Ndugu zangu naomba kwa anejua taratibu za kuzifuata ili kupata leseni ya biashara na vigezo vyake pia na gharama zake hususani katika jiji la Dar es Salaam.
Kama kuna uzoefu wa sehemu nyingine sio mbaya nitajifunza ila kwa sasa nataka kwa Dar maana hapo mwanzo nilikuwa nikifanya shughuli za ngu Morogoro ila tangu kufika hapa Dar naona kila uchwao pilika za kusombwa kisa leseni mimi nataka kwaajili ya shughuli za ushonaji.
Karibuni maswali ya kujenga ruksa
Nipe link,nahitaji pia.Leseni ni 80,000 tu na unaiomba mtandaoni,