Naomba mnijuze hili, Uvimbe kwenye Cervix unatokana na nini?

oonatha

Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
24
Reaction score
9
Uvimbe kwenye Cervix unasababishwa na nini? Na nini matibabu yake? Madhara yake ni nini? Nini kifanyike ili uvimbe utoke? Kwa aliyewahi kukutwa na ugonjwa huu au kusikia unasababishwa na nini na matibabu yake ni yapi naomaba anijuze. Asante, nawasilisha
 
kwamwezi huwa unakutana na mashine ngpa tofauti
 

niko serious na sio utani nahitaj kufahamu unasababishwa na nini na nini matibabu yake
 
kwamwezi huwa unakutana na mashine ngpa tofauti

Haihusiani na kwa mwezi ninakutana na mashine ngapi? hili ni tatizo na linahitaji ufumbuzi, ndio maana nimeuliza kwa wale wanaolifahamu wanijuze coz sidhani kama linasababishwa na hizo mashine
 

Pole kama umekutwa na hali hiyo.
Kiujumla uvimbe huweza kusababishwa na aina fulani ya virusi au wakati mwingine ni ukuaji wa seli za cervix usiofuata taratibu za kawaida za ukuaji. Vilevile inawezekana uvimbe unaoonekana kwenye cervix kuwa unachungulia toka ndani ya kifuko cha uzazi.
Ili kupata jibu sahihi unapaswa kumuona gynecologist ambae atapanga plan ya jinsi ya kuutoa huo uvimbe baada ya kukupima. Uvimbe ukishatolewa utapelekwa maabara ya histolojia kwa vipimo zaidi na hapo ndipo itafahamika nini hasa ilikuwa sababu au chanzo cha uvimbe.
Ninakushauri kama una uvimbe ufanye hivyo mapema kwa sababu wakati mwingine uvimbe hugeuka kuwa kansa na kusambaa sehemu nyingine mwilini.
 
Pole sana. Vipi umeshapata tiba au bado? Kama bado naomba uni-pm coz nimespecialize kwa mambo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…