Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau nime login leo tcu,nakukuta zilizokuwa elible zimetoweka na kuwa eligible zingine
(yani kinyume chake vp wengine?) maana kuna wengine wameshata chuo yeyari mf.kairuki.Nisaidieni nijue.
nimepata habari zisizo rasmi kuwa selection zimeshatoka ila hazija uploadiwa kwenye mtandao bado! but pia nasikia zimebandikwa kwenye baadhi ya vyuo, so kama upo near ya vyuo ulivyo apply kacheki au kama una mtu wa karibu mtaarifu akuchekie. ila kwa hili sina uhakika kama ni kweli is just nimeambiwa tuuuu. kwa aliye karibu na chuo chochote afanye yakeee basi ilinasisi tulio porini tujue hali halisi.
kwa ambalo na uhakika nalo, cause mimi nime receive mail ya kairuki so far, niki login sioni jipya lolote, ila kama nilivyo kwambia mwanzo bado selection hazipo mtandaoni bado ila kwa kairuki nasikia wa mebandika walio wachagua notice board, kwa aliye karibu na chuo hicho pls atu thibitishie basi
:israel:

hawaja ambatanisha may be nikipata nafasi nitawaibukia
ahhahahahahhaa kwel tcu n pasua kichwa yaan hamuwez amini imekuwa tena ilegible!!!
mmh !! mambo ni magumu kwelikweli hata mimi Bachelor of Vertenary Medicene nimekuta imeandikwa not eligeble wakati hapo mwanzo ilikua Eligeble.! Sijui hawa jamaa wanamaanisha nini?
oya mi mwenyewe ilikua not elgbl nimechek for eligility imekua eligble!