Naomba mnijuze kuhusu hili

hesalieyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
378
Reaction score
380
Hivi kuna course ya enginearing ya petroleum? na kama ipo ni chuo gani kinatoa kozi hiyo?naomba mnijuze tafadhali.
 
thanxs wakuu, ndo wameanza kutoa kozi hiyo mwaka huu?
 
acha na udom na ud ,we nenda russia ndo wamebobea hawa wabongo wataishia kukujaza maformula tu,ungesema mechanicla eng ningesema nenda ud ila kwa any knowledge ya production achana na wabongo wapuuzi wengi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…