Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,850
Habari zenu wakuu,
I hope mnaendelea vema na majukumu..
Naomba kuuliza ni vitu gani vya kuzingatia kama unataka nunua pikipiki au gari? Ukiachana na kujua kuendesha?
Mie najua labda inabidi uwe na leseni. Japo sielewi leseni unaipata wapi na kazi yake nini? Na kwa kuipata gharama yake ni shilingi ngapi? Na inachukua muda gani?
Pia mfano unataka kununua pikipiki au gari kwa mtu inabidi uzingatie nini ili usije kununua kitu cha wizi?
Na nasikia mfano pikipiki wengine wanasema iko full document kwani hizo document huwezi pewa fake na anayeuza pikipiki au gari?
Nawasilisha naomba kujibiwa hapo na pia nifahamishwe nisiyoyajua?
Sent using Jamii Forums mobile app