Naomba mnijuze kuhusu PSPF

Edo Mashili

Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
24
Reaction score
0
Jaman wanajukwaa hili naomba mnijuze kuhusu mfuko wa Penshen PSPF jinsi ya kujiunga na huo mfuko mie nimemaliza kidato cha sita nataka kujiunga na huo mfuko ili inisaidie katika masomo yangu ya chuo kikuu,naomba mnijuze kuhusu vigezo na mengine mengi kuhusu huu mfuko
 
mpaka uwe mwajiri nnavyojua ila kesho ntakupa mawasiliano ya mfanyakaz wa pspf atakusaidia zaid
 
hadi upate ajira ndo utajiunga nakushauri zingatia usijiunge PSPF ni wazinguaji wanatangaza mafao ambayo hawana jiunge LAPFusidhan nna wivu nami npo PSPF ila najutia kuwepo kila laheri
 
hadi upate ajira ndo utajiunga nakushauri zingatia usijiunge PSPF ni wazinguaji wanatangaza mafao ambayo hawana jiunge LAPFusidhan nna wivu nami npo PSPF ila najutia kuwepo kila laheri

sawa mkubwa nashukuru
 
hadi upate ajira ndo utajiunga nakushauri zingatia usijiunge PSPF ni wazinguaji wanatangaza mafao ambayo hawana jiunge LAPFusidhan nna wivu nami npo PSPF ila najutia kuwepo kila laheri

Mkuu na mimi niko lapf nataka nijitoe hawana jipya tena tuko kama 40 hivi tunasubili watunyime mkopo wa chuo tu tunasepa
 
Mkuu na mimi niko lapf nataka nijitoe hawana jipya tena tuko kama 40 hivi tunasubili watunyime mkopo wa chuo tu tunasepa
LAPF ndo mfuko sasa kama hujui hao PSPF wazushi tu
 
Yaan tunasubiri watunyime mkopotu hiyo inakua baibai mkuu najua wengi watafuata tu baada ya kuona

Ukishajiunga na mfuko huwezi kutoka wala kubadilisha so utakufa nao huo.....
 
Mkuu na mimi niko lapf nataka nijitoe hawana jipya tena tuko kama 40 hivi tunasubili watunyime mkopo wa chuo tu tunasepa

Nakushauri usijitoe LAPF kwa ajili ya Kujiunga PSPF labda ujiunge Mfuko Mwingine.Mimi Juzi nilienda Makao makuu kuulizia utaratibu wa kupata Mkopo wa Masomo ya Juu,Ukweli ni kwamba wana Masharti ghali afadhali hata kukopa Bank.Ningekuwa na uwezo ningehamia GEPF.Hakuna nafuu yoyote unayopata kama mwanachama.
 
OMUGHAKA! tatigha, hebu nipe mashariti hayo, kumbe hawa jamaa micharuko e, wanatafuna pesa zetu afu mbwembwe kibao, eti tunatoa mikopo kumbe ni kuvuta wateja. Ama kweli jf inakila kitu. Kwanza ukisoma ukapanda cheo nao wanapata palefu, pili hata nyongeza yake inaongezwa na mwajili yaani wao ni kutunza tu. Hawa jamaa basi tu.
 
tatizo PSPF bla bla mingi wanatangaza mafao ambayo hata hawana bado
Wiki iliyopita nimeenda kwenye ofisi zao kuulizia fao la uzazi maana wife kajifungua na ni mwanachama wa pspf wananiambia vitu vya ajabu tu, kumbe wanatangaza hata huduma ambazo hawatoi
 
Mifuko yote now days wanatoa penshen sawa wanapishana mafao ya hapa katkat...
Na gepf waweza changia voluntary wakat una mfuko mwngne...
Ila hii mifuko kwa sheria ya sasa ivi haina tofauti...
Yote iko sawa tu ila NSSF anamafao mengi kuliko hao wengne wote...
Ila hamna utakacho loose uki chagua mfuko mmoja na kuacha mwngne
 
Mifuko yote ni sawa. Wote wana njaa na wajanjavwajanja kama wewe
 
Wiki iliyopita nimeenda kwenye ofisi zao kuulizia fao la uzazi maana wife kajifungua na ni mwanachama wa pspf wananiambia vitu vya ajabu tu, kumbe wanatangaza hata huduma ambazo hawatoi
2013 walikuja kututangazia biashara wakasema wana mafao ya uzazi mwaka 2014 sept nimeenda kuulizia wanajibu madudu yasioeleweka in SHORT HAWANA HAYO MAFAO WAONGO SANA PSPF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…