naomba mnijuze mlioko jikoni vipi tamisemi watatoa ijira ya ualimu awamu ya pili lini

naomba mnijuze mlioko jikoni vipi tamisemi watatoa ijira ya ualimu awamu ya pili lini

NUUMA BAKUNYA

Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
23
Reaction score
1
Ni miezi kadha selikali imetoa ajira ya ualimu ILA cha kushangaza walimu wengi wameachwa wenye sifa je mwenye fununu wataajiriwa lini au tamisemi itatoa Tamko lini naomba mnijuze mlioko jikoni
 
ndugu yangu mambo magumu mpaka leo amna tamko lolote
 
Back
Top Bottom