N NUUMA BAKUNYA Member Joined Feb 19, 2013 Posts 23 Reaction score 1 May 3, 2014 #1 Ni miezi kadha selikali imetoa ajira ya ualimu ILA cha kushangaza walimu wengi wameachwa wenye sifa je mwenye fununu wataajiriwa lini au tamisemi itatoa Tamko lini naomba mnijuze mlioko jikoni
Ni miezi kadha selikali imetoa ajira ya ualimu ILA cha kushangaza walimu wengi wameachwa wenye sifa je mwenye fununu wataajiriwa lini au tamisemi itatoa Tamko lini naomba mnijuze mlioko jikoni
M mcharge JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 248 Reaction score 49 May 3, 2014 #2 ndugu yangu mambo magumu mpaka leo amna tamko lolote