Kama kila kinachotokea hapa duniani kingekua kina maelezo ya kisayansi maisha yasingenoga.
Babygal.......nawe ulishasikia eh?? Yaani mie hadi nikawa nawaza kama ni kweli je hakuna njia ya kuweza kudetect mapema ili umpate mwenye kismet tu?
haya hayana sayansi lakini yana imani yakeWanaMMU-JF..........habari za weekend?
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa katika mahusiano na mapenzi kuna aina mbili za wanawake
1. Wale wenye kismat....yaani bahati flani kiasi kwamba akiwa kwenye mahusiano na mkaka basi huyo kaka mambo yake yanakuwa tambarare........
2. Wale ambao huwa wanakuwa kama wana nyota mbaya (wenyewe huita gundu???) ambao wakiwa kwenye uhusiano basi wenzi wao huwa na wakati mgumu sana kwani hakuna kinachofanikiwa be it kikazi, biashara yaani kimaisha kwa ujumla!!...
(Sasa sijui in yale ya Hayati Sheikh Yahya!)
So naomba msaada wa kujua yafuatayo
1. Je kuna ukweli wowote katika hili? na
2. Kama ni kweli, je na upande wa wanaume nao wapo wenye kismati na wasio nacho?
ni hayo tu, aksanteni
Babygal.......nawe ulishasikia eh?? Yaani mie hadi nikawa nawaza kama ni kweli je hakuna njia ya kuweza kudetect mapema ili umpate mwenye kismet tu?
Kusikia hata mimi nimeshasikia lakini sijapata maelezo ya kunishawishi kuwa ni kweli. Maelezo ninayosikia ni ya kijumla mno .
BAbu kwa mfano uchawi au haupo? Mi hata sijui lakini nadhani kuna mambo mengine ambayo hayana backup ya kisayansi but yapo. Hapa mnanikumbusha makitu ya positivism and Realism ah........mi shule ngumu sizitaki banaKama vile......???
BAbu kwa mfano uchawi au haupo? Mi hata sijui lakini nadhani kuna mambo mengine ambayo hayana backup ya kisayansi but yapo. Hapa mnanikumbusha makitu ya positivism and Realism ah........mi shule ngumu sizitaki bana
Hebu semeni kuna wenye gundu au la?
Zaidi ya mara mbili mpenzi....heheheheh kungekua na njia ya kudetect kuna watu wangekimbiwa hata njia ingebidi wawe na yao..lolzz!!
Njia pekee ya kujua ni kwakua karibu na watu/mtu alafu uangalie maendeleo yako.Tho sidhani kama ''unaitega '' hiyo hali itatokea. Kuna watu yani uwepo wake unafanya hata mambo ambayo kiasili yalikua magumu sana kwako kuyakamilisha ghafla uwezekano unatokea...ubaya ni kwamba mtu kama huyu ukimuumiza akakulaani hata kwa maneno mambo yako yanaweza yakabadilika ghafla kama ilivyokua mwanzo!!
Nadhani inawezekana kukawa na ukweli ndani yake japo hamna maelezo ya kisayansi kama ndugu yetu NN anavyotaka kufahamishwa.
Nimewahi kuambiwa mara kadhaa na sio lazima kwenye mapenzi....hata kwa marafiki hua inatokea!!:whistle:
Hapa ambacho huwa kinazungumziwa nadhani ni kile kwa Kiingereza kinachoitwa 'influence'. Kuna watu ambao ukiwa nao basi wataku-influence kichanya zaidi na wengine ambao wataku-influence kihasi zaidi.
Ukiwa karibu na mtu mwenye bidii, nidhamu, na juhudi ya utafutaji uwezekano wa wewe kuwa na hizo sifa bainishi (traits) ni mkubwa sana. Na ukiwa hivyo basi hata mafanikio utayaona. Lakini ukiwa na mtu asiye na hizo sifa bainishi halafu ndo uwe umetoka kwa mtu aliyekuwa nazo, basi sitashangaa ukijiona labda una mikosi.
WanaMMU-JF..........habari za weekend?
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa katika mahusiano na mapenzi kuna aina mbili za wanawake
1. Wale wenye kismat....yaani bahati flani kiasi kwamba akiwa kwenye mahusiano na mkaka basi huyo kaka mambo yake yanakuwa tambarare........
2. Wale ambao huwa wanakuwa kama wana nyota mbaya (wenyewe huita gundu???) ambao wakiwa kwenye uhusiano basi wenzi wao huwa na wakati mgumu sana kwani hakuna kinachofanikiwa be it kikazi, biashara yaani kimaisha kwa ujumla!!...
(Sasa sijui in yale ya Hayati Sheikh Yahya!)
So naomba msaada wa kujua yafuatayo
1. Je kuna ukweli wowote katika hili? na
2. Kama ni kweli, je na upande wa wanaume nao wapo wenye kismati na wasio nacho?
ni hayo tu, aksanteni
Ukweli uliopo ni pale mtu unapobadilisha mtindo wa maisha yako ili uendane na wa huyo mtu au hao watu (marafiki). Hii huweza kupelekea kupunguza umakini wako uliokuwa nao kabla ya kukutana na hao watu. Na matokeo yake badala ya kujiangalia mwenyewe na kufanya marekebisho unaishia kutafuta 'easy way out by blaming others especially if things have gone or are going awry'.
Naomba unitajie vile ambavyo havina maelezo ya kisayansi na utanisaidia sana kutoa uthibitisho wa kina jinsi ambavyo vimesaidia maendeleo ya binadamu toka enzi za zana za mawe!
DC
haya hayana sayansi lakini yana imani yake
ndio maana kuna yale ya mtoto si riziki, ndoa si riziki, kaamkia mguu wa kushoto nk
Binafsi naamini kabisa kuna mtu nikiwa nae, basi hupata bahati....
personal experience, i had one of the most beautifulgirls, some year ago, lakini everytime nikiwa nae nilikua napata mikosi, and hadi leo there are some people, including one friend of mine (female), ambaye kila nikiwa naye, everything turns to gold, kuanzia mkoloni hadi biashara zangu
i call her my lucky charm!!!
SO TO ME THIS IS TRUE!!!
Kamanda!!
Hebu funguka basi nikusome kamanda?
Mie zamani nilishawahishutumiwa na mtu kuwa nimeyaharibu maisha yake nothing seems to be right like they used to be, psa imemkimbia na madili yanayeyukia mlangoni!! Sasa nimebaki najiuliza kama ni kweli!
haya hayana sayansi lakini yana imani yake
ndio maana kuna yale ya mtoto si riziki, ndoa si riziki, kaamkia mguu wa kushoto nk
Binafsi naamini kabisa kuna mtu nikiwa nae, basi hupata bahati....
personal experience, i had one of the most beautifulgirls, some year ago, lakini everytime nikiwa nae nilikua napata mikosi, and hadi leo there are some people, including one friend of mine (female), ambaye kila nikiwa naye, everything turns to gold, kuanzia mkoloni hadi biashara zangu
i call her my lucky charm!!!
SO TO ME THIS IS TRUE!!!
mimi binafsi wanawake weupe huwa naweza sema wananiongezeaga bahati hivi lol
ingawa mimi hupenda wanawake weusi