Habar wana jf mimi ni mhitimu wa Diploma ya mifugo(Lita-madaba) 2012 na nataka kuendelea na masomo lakini kilichonishtua ni kuwa eti bodi haitoi mkopo kwa diploma ila yule atakae soma health science TU (MD,PHMCY,NURSING,DD,BVM)Je ni kweli?
LA PILI; Ni kuwa A,level nimesoma PCB,nikapata div III.17 Nina principle moja ya biology then ndio nikasoma hiyo ordinary diploma(Distinction,GPA;3.5)je nakidhi vigezo vya kuomba kozi yoyote hapo juu.Nisaidieni kabla cja apply.Natanguliza shukrani zangu.