Karibu Nnyambala hapa utajifunza mengi,ila kama ni mfuasi wa Chama Cha Magamba unaweza kufa kwa pressure maana humu watu hawaogopi kuanika uozo wote wa chama cha zamani.
pia usisahau:
2 "Wise men speak because they have something to say;Fools because they have to say something" kwa hivyo ili ufurahie kuishi humu JF, ni vizuri ukitoa vitu vizito, yaani kama kuna jambo linajadiliwa na wewe unataka kutoa hoja hakikisha una habari za kutosha na ambazo watu wenye akili zao wataumiza vichwa au hata kujifunza jambo jipya. By the way ..hata mie si wa zamani saaana!