Naomba mnikaribishe

kunyenge

Member
Joined
May 26, 2022
Posts
60
Reaction score
77
Habarini wote , me ni mgeni humus ndani ila nimekuwa nikufiatilia madam mbalimbali , nimejiunga rasmi kwa kuwa napata madini ya maana humus.

Kwa ufupi naipenda mno Jamii forum. Kwani ninajifunza mengi, kwa waliotangulia humu.

Naomba mnipokee ...
 
Ahsante sana bro, napenda sana mada zako, kwani nimekuwa nikifatilia sana.

Ki ukweli wewe ni mmoja umenishawishi kuingia humu ili niweze hata kukoment.

Na umekuwa mtu wa kwanza kunikaribisha ubarikiwe mno..
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1534] karibu tena na jisikie uko nyumba yenye kisima cha mengi
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…