best mic youMungu akutangulie
Ishaalah kwa uwezo wa Allah ataleta kheri ufanikiwe kazi hiyo.
Usisahau kufunga na kusali.
Usisahau kufunga na kusali.
Missn u too..hatuonani sijui kwann...sema ww sikuoni siasani..mie kule nalala naamkia kule😂😂nipo kama dalali...best mic you
Hahahaha nipo au tunapishana baadhi ya mada.Missn u too..hatuonani sijui kwann...sema ww sikuoni siasani..mie kule nalala naamkia kule😂😂nipo kama dalali...
NaiweNimetoka kutuma maombi ya kazi, private sector.
Katika hospital ya kanisa la KKKT.
Niongezeeni baraka zenu nipate kazi wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Andika kirefu ueleweke na wew.